PROF.KAMUZORA: JAMII INAPASWA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI ZINAZOWAKANDAMIZA WANAWAKE NA WATOTO NCHINI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, October 28, 2018

PROF.KAMUZORA: JAMII INAPASWA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI ZINAZOWAKANDAMIZA WANAWAKE NA WATOTO NCHINI


 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora (Kulia) akifungua kikao cha Kamati elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake na Watoto kwa ajili ya kujadili Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto kilichofanyika Mkoani Morogoro Oktoba 26, 2018 kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. John Jingu.
 Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt.Laurean Ndumbaro akizungumza wakati wa kikao cha Kamati elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake na Watoto kwa ajili ya kujadili Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto kilichofanyika Mkoani Morogoro Oktoba 26, 2018 kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw.Amoni Mpanju.
Loading...

No comments: