RIPOTI YA TAKWIMU ZA MAZINGIRA YATAJWA KUWA YA KIHISTORIA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, October 19, 2018

RIPOTI YA TAKWIMU ZA MAZINGIRA YATAJWA KUWA YA KIHISTORIA


 
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akionesha Ripoti ya Taifa ya Takwimu  za Mazingira ya mwaka 2017 leo Jijini Dodoma mara baada yakuizindua leo Jijini Dodoma.
 
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akikata utepe kuzindua Ripoti ya Taifa ya Takwimu  za Mazingira ya mwaka 2017 leo Jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wan chi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba.
 
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akimkabidhi Ripoti ya Taifa ya Takwimu  za Mazingira ya mwaka 2017  Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu Ofisi ya Taifa ya Takwimu  (NBS) Bw. Irenius Ruyobya  Jijini Dodoma.
 
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akizungumza na washiriki wa hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Taifa ya Takwimu za Mazingira ya mwaka 2017 leo Jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January  Makamba.
 
Mtakwimu mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)  Bw. Pius   Kasikana akiwasilisha mada wakati wa hafla ya kuzindua Ripoti ya Taifa ya Takwimu  za Mazingira ya mwaka 2017 leo Jijini Dodoma.
 
Meneja wa Takwimu za Bei na Ajira Bi Ruth Minja akiwasilisha mada wakati wa hafla ya kuzindua  Ripoti ya Taifa ya Takwimu  za Mazingira ya mwaka 2017  Jijini Dodoma.
 
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Ardhi Dkt. Anes Mahenge akiwasilisha mada wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Taifa ya Takwimu  za Mazingira ya mwaka 2017 Jijini Dodoma.(PICHA ZOTE NA FRANK MVUNGI- MAELEZO)
Loading...

No comments: