ROSTAM WAINOGESHA IOKOTE YA MAUA SAMA KWENYE JUKWAA LA TIGO FIESTA MOSHI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, October 22, 2018

ROSTAM WAINOGESHA IOKOTE YA MAUA SAMA KWENYE JUKWAA LA TIGO FIESTA MOSHI


 Kundi la Rostam linalowashirikisha wasanii wawili Roma (Kushoto) na Stamina (kulia) jana walipanda jukwaani kuimba pamoja na msanii Maua Sama (picha ya chini) wimbo unaotamba kwa sasa ujulikanao kama IOKOTE kwenye Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote lililofanyika uwanja wa Majengo mjini Moshi. Msanii WhoZu nae hakuwa nyuma kutoa burudani.  Richard Mavoko - Richie Mavoko nae hakuwa nyuma kutoa burudani. Msanii Rapa Rosa Ree akiimba kwa staili ya kufokafoka kwenye Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote lililofanyika uwanja wa Majengo mjini Moshi usiku wa kuamkia jana.Msanii Nandy akionesha jinsi gani anaweza kuteka mashabiki kwa namna alivyokuwa anaimba nao kwenye Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote lililofanyika uwanja wa Majengo mjini Moshi usiku wa kuamkia Jana.Kundi la Rostam linalowashirikisha wasanii wawili Roma na Stamina jana walipanda jukwaani kuimba pamoja na msanii Maua Sama wimbo unaotamba kwa sasa ujulikanao kama IOKOTE kwenye Tamasha la Tigo Fiesta Vibe
Loading...

No comments: