Serikali kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwa wafanyakazi nchini - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, October 1, 2018

Serikali kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwa wafanyakazi nchini

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na Viongozi wanawake kutoka vyama vya wafanyakazi Mkoani Morogoro kuhusu kuwahimiza wafanyakazi kuchangamkia fursa za shughuli za kimaendeleo zilizopo nchini.  
 Rais wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Bw. Tumaini Nyamuhoke akielezea jambo wakati wa mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (Mb) alipokutana kwa lengo la kuzungumza na Viongozi Wanawake kutoka kwenye Vyama vya Wafanyakazi Mkoani Morogoro.
Loading...

No comments: