TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA MAGICAL KENYA INTERNATIONAL TRAVEL EXPO, NAIROBI -KENYA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, October 6, 2018

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA MAGICAL KENYA INTERNATIONAL TRAVEL EXPO, NAIROBI -KENYA

Wagombea wa Miss Utalii  Kenya walipotembelea banda la Tanzania  maonyesho ya kataifa yajulikanayo kama Magical Kenya International Travel Expo.
Kutoka kushoto ni Bw. Gladstone mlay  Meneja utafiti na maendeleo ya Utalii kutoka TTB,  Bw. Fredy Okeyo  Meneja wa Maendeleo ya biashara (business development Manager) Bodi ya Utalii Kenya (KTB) , Apaikunda Mungure Mhifadhi Utalii Hifadhi ya Taifa  ya Saadani na   Naomi Mbilinyi Afisa Habari za Utalii kutoka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)
 Baadhi ya watu mbalimbali wakiwa katika Banda la Tanzania katika maonesho ya Magical Kenya International Travel Expo.

Loading...

No comments: