UONGOZI INSTITUTE YAANDAA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI


 Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Bw. Issa Ngi'mba akifungua mafunzo  kwa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakiwemo kutoka makao makuu ya Jeshi hilo na Makamanda wa Polisi wa Mikoa yanayofanyika Jijini Dodoma kwa siku tano.

 Mtendaji mkuu wa Taasisi ya Uongozi Prof.  Joseph  Semboja akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo  kwa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakiwemo kutoka makao makuu ya Jeshi hilo na Makamanda wa Polisi wa Mikoa yanayofanyika Jijini Dodoma kwa siku tano.

 Sehemu ya makamanda wa Polisi wakifuatilia mafunzo  kwa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakiwemo kutoka makao makuu ya Jeshi hilo na Makamanda wa Polisi wa Mikoa yanayofanyika Jijini Dodoma kwa siku tano.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Bw. Issa Ngi'mba  akiteta jambo na  na  Mkuu wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu ya Jeshi la Polisi Kamishna  Albert Nyamuhanga wakati wa mafunzo  kwa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakiwemo kutoka makao makuu ya Jeshi hilo na Makamanda wa Polisi wa Mikoa yanayofanyika Jijini Dodoma kwa siku tano.

 Sehemu ya Makamanda wa Jeshi la Polisi wakiimba wimbo maalum wa Jeshi hilo wakati wa mafunzo  kwa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakiwemo kutoka makao makuu ya Jeshi hilo na Makamanda wa Polisi wa Mikoa yanayofanyika Jijini Dodoma kwa siku tano.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma  Kamishna  mwandamizi wa Jeshi la Polisi Giles   Muroto akizungumza wakati wa mafunzo kwa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakiwemo kutoka makao makuu ya Jeshi hilo na makamanda wa Polisi wa Mikoa yanayofanyika Jijini Dodoma kwa siku tano.

  Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Bw. Issa Ngi'mba  (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na sehemu ya makamanda wa Polisi wa Mikoa na wale wa Makao makuu ya Jeshi hilo.wakwanza kutoka kulia walioketi ni Mkuu wa Jeshi hilo mstaafu  Said  Mwema.


 Mkuu wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu ya Jeshi la Polisi Kamishna  Albert Nyamuhanga akizungumza wakati wa mafunzo  kwa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakiwemo kutoka makao makuu ya Jeshi hilo na makamanda wa Polisi wa Mikoa yanayofanyika Jijini Dodoma kwa siku tano.

Post a Comment

0 Comments