Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.
Faustine Ndugulile akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo
mbalimbali vya habari wakati wa mdahalo wa wahariri wa vyombo vya habari
nchini uliofanyika jijini Dar es Salaam kuhusu namna bora ya kupambana
na vitendo vya ukatili kwa mtoto wa Kike kuelekea Siku ya Kimataifa ya
Mtoto wa Kike 2018.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto John
Jingu akielezea jitihada za Wizara katika kukabiliana na vitendo vya
uaktili kwa watoto wa kike kwa vyombo vya habari wakati wa mdahalo wa
wahariri wa vyombo vya habari nchini uliofanyika jijini Dar es Salaam
kuhusu namna bora ya kupambana na vitendo vya ukatili kwa mtoto wa Kike
kuelekea Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike 2018.
No comments:
Post a Comment