WAZIRI MKUU AKUTANA NA MKURUGENZI MPYA CRDB - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, October 12, 2018

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MKURUGENZI MPYA CRDB


 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na  Mkurugenzi Mkuu mpya wa bank ya CRDB Abdulmajid Nsekela mara baada ya kuwasili leo ofisini Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam, Oktoba 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu mpya wa bank ya CRDB Abdulmajid Nsekela, leo ofisini Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam, Oktoba 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiagana na Mkurugenzi Mkuu mpya wa bank ya CRDB Abdulmajid Nsekela, leo ofisini Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam, Oktoba 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Loading...

No comments: