WAZIRI MKUU ATAKA WACHIMBAJI WADOGO WAENDE BENKI WAKAKOPE MITAJI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, October 1, 2018

WAZIRI MKUU ATAKA WACHIMBAJI WADOGO WAENDE BENKI WAKAKOPE MITAJI

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel, mara baada ya kuwasili mkoani humo kufunga maonesho ya dhahabu, madini, teknolojia ya madini na uwekezaji yaliyofanyika kwenye viwanja vya Kalangalala, mjini Geita, Septemba 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Mwanafunzi wa mwaka pili katika chuo cha VETA Moshi, Careen Vedasto akiendesha kifaa cha kuchimbia madini kilichobuniwa na wanafunzi na walimu wa chuo hicho mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipotembelea mabanda kwenye maonesho ya dhahabu, madini, teknolojia ya madini na uwekezaji, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Kalangalala, mjini Geita, Septemba 30, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel.
Loading...

No comments: