Waziri
Mkuu Mh. Kassim Majaliwa, akiwahutubia wadau wa Utalii, kwenye ufunguzi wa
maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE), yaliyofanyika katika
ukumbi wa Julius Nyerere Dar es salaam.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Japhet Hasunga (MB) akihutubia wakati wa uzinduzi wa Tamasha la S!TE jijini Dar es salaam.
Balozi wa Tanzania Nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa, akitoa neno la shukurani kwa kila aliyeshiriki katia maonesho ya S!TE yanayo endelea katika ukumbi wa Julius Nyerere Dar es salaam.
Karibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Nkenda Kama akizunguza wakati wa uzinduzi wa S!TE.
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Jaji Thomas Mihayo akizungumza wakati wa uzinduzi wa S!TE 2018
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Bi. Devotha Mdachi akizungumzia juu ya Maonesho ya S!TE wakati wa Uzinduzi Jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akiwa katika banda la Mdhamini mkuu, Tanzania Ocean Cruising and Safari LTD
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi Mkuu wa shirika
la ndege Tanzania (ATCL) Ladiclaus Matindi, alipotembelea mabanda,
kwenye ufunguzi wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo,
yaliyofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Dar es salaam.
Waziri
Mkuu Mh. Kassim Majaliwa, akiendelea kutembelea mabanda mbalimbali wakati wa uzinduzi wa S!TE jijini Dar.
Viongozi mbalimbali wa Serikalini pamoja na wadau mbaliu mbalimbali wa Utalii wakiwa katika uzinduzi wa S!TE 2018, Jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Fredy Njeje
No comments:
Post a Comment