BALOZI ADADI AWAFUNDA VIJANA TAMASHA LA UTAMADUNI WA BONDE - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, November 21, 2018

BALOZI ADADI AWAFUNDA VIJANA TAMASHA LA UTAMADUNI WA BONDEMbunge wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu kushoto akiwa na  Zumbe wa Kitulwe Tibua Charles Nkuninga kulia wakifuatilia matukio mbalimbali kwenye Tamasha la Bonde ambalo lilifanyika Kata ya Kicheba wilayani Muheza lililokwenda sambamba na maonyesho ya vitu mbalimbali vya asili ikiwemo vyakula

Afisa Utamaduni wa wilaya ya Muheza Msafiri Charles Nyaluka akizungumza katika Tamasha hilo

 
Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu akizungumza wakati wa Tamasha hilo 
Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu akiingia kwenye Tamasha hilo
 
Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu kushoto akitazama bidhaa mbalimbali vinavyotengenezwa  na wakima mama wa Kibondei wakati alipotembelea Maonyesho hayo wakati Tamasha la Bonde lililofanyika eneo la Kicheba wilayani MuhezaMBUNGE  wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu kulia akilakiwa na wananchi wa Kijiji Kicheba Kata ya Kicheba wilayani Muheza wakati alipokwenda kwenye Tamasha la Bonde.
Sehemu ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali wakifuatilia
Loading...

No comments: