#CHUKUA HII;Huyu Ndiye Mwanamke Anayelipwa Mshahara Mkubwa zaidi Ulimwenguni - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, November 26, 2018

#CHUKUA HII;Huyu Ndiye Mwanamke Anayelipwa Mshahara Mkubwa zaidi Ulimwenguni


Denise Coates hulipwa mshahara wa zaidi ya Pauni za Uingereza 265 milioni (zaidi ya Shilling 340 bilioni).mwanamama huyu Ni Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni ya kamari ya Bet 365
Aidha, Coates ni kati ya watu matajiri zaidi duniani akiwa na utajiri wa Dola 4.1 bilioni.Kitita cha mshahara anaolipwa Coates zikiwa zimepangwa katika noti za 1000 zinaweza kufanya mnara mrefu zaidi ya jumba la Times Times Tower.
Mshahara wa Coates ni zaidi ya mara tatu anachopata mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Apple Tim Cook ambaye alipokea £ 80 (zaidi ya bilioni 10.5).Tofauti hii inatiliwa maanani ikizingatiwa Apple ndiyo kampuni yenye thamani kubwa zaidi duniani.

Kulingana na mtandao wa Guardian, mapato ya Bet 365 yalifika 52 billioni ( zaidi ya 6.8 trilioni), pato ambalo limepita pato jumla la mataifa kama Uruguay, Croatia na hata Kenya.

Aidha, kuchora taswira kamili mshahara wa Bi Coates wa miaka 10 unaweza kulipia deni la reli ya kisasa ya SGR kutoka dar kwenda dom
Aidha kampuni ya Bet365 ndiyo ambayo ndiyo pia inayomiliki Stoke City.


Loading...

No comments: