Idriss Sultan Afunguka Kuhusu Tigo Fiesta Kufutwa... - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, November 24, 2018

Idriss Sultan Afunguka Kuhusu Tigo Fiesta Kufutwa...From @idrissultan : Kwa familia yangu ya nguvu sanaaaaa, Clouds. Naomba kwa wakati kama huu tukumbuke somo moja kwenye dini.
.
.
Waliompiga mawe, kumsaliti, kumvunja, kumchapa Issa Bin Mariam na waliomkejeli, waliomtukana, waliomvamia kumpiga na kumuulia ndugu na marafiki Mohammad(SAW) walidhani watakuwa wanawashusha na kuwamaliza ila matokeo yake ndo karne na milenia baadae tupo hapa tunaenda nyumba za dini kila siku kuwaongelea. Nguvu ya kweli inagusa mioyo, mengine ni mvua na jua (vina misimu) #RefuseToStop
Loading...

No comments: