KIKAO CHA WATAALAMU MABUNGE JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA (CPA) CHAKUTANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, November 20, 2018

KIKAO CHA WATAALAMU MABUNGE JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA (CPA) CHAKUTANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

  Mjumbe wa kamati ya wataalamu kutoka Tanzania, Ndg. Demetri Mgalami (kushoto) akizungumza katika kikao cha marekebisho ya katiba ya Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA) kilichoanza leo tarehe 19 Novemba 2018 Bahari Beach Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu wa Bunge la Zambia ambae pia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Ndg. Cecilia Mbewe na kulia ni Mtumishi kutoka Bunge la Zambia, Ndg. Barnabas Bwalya

  Katibu wa Bunge la Zambia ambae pia ni Mwenyekiti wa kamati ya wataalamu, Ndg. Cecilia Mbewe akizungumza wakati wa marekebisho ya katiba ya Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA) katika kikao kilichoanza leo tarehe 19 Novemba 2018 Bahari Beach Jijini Dar es Salaam.

 Wajumbe wa kamati ya wataalamu wakijadiliana jambo wakati wa kikao cha marekebisho ya katiba ya Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA) kilichoanza leo tarehe 19 Novemba 2018 Bahari Beach Jijini Dar es Salaam.

  Wajumbe wa kamati ya wataalamu wakiwa katika kikao cha marekebisho ya katiba ya Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA) kilichoanza leo tarehe 19 Novemba 2018 Bahari Beach Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni wakili Ronald Makala kutoka Bunge la Kenya na kulia ni Ndg. Dunford Mpelumbe kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Loading...

No comments: