LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMAJUMATANO NOVEMBA 7, 2018 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, November 7, 2018

LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMAJUMATANO NOVEMBA 7, 2018


 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Malindi Ally Saleh, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Novemba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa viti maalum Salma Kikwete, Bungeni jijini Dodoma. Novemba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma Novemba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Loading...

No comments: