Magari Mawili ya Abiria yagongana na Kuwaka Moto Tarime

Gari mbili aina ya Toyota Hiace zilizokuwa na abiria zikifanya safari zake kati ya Musoma na Tarime zimegongana kisha kuwaka moto katika eneo la Gachuma

Haijafahamika bado idadi ya majeruhi wala vifo katika ajili hiyo pia chanzo cha gari hizo kugongana

Post a Comment

0 Comments