MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU SABA MKOANI KILIMANJARO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, November 8, 2018

MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU SABA MKOANI KILIMANJARO


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Kilimanjaro tayari kwa ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo.


 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Anna Mghwira akisoma taarifa ya Mkoa mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye ameanza ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani humo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Loading...

No comments: