MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA NA KUMPA POLE WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE.SUMAYE - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, November 19, 2018

MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA NA KUMPA POLE WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE.SUMAYE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye nyumbani kwake Endasak, Hanang kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi.Bibi Elizabeth Gisa Sumaye alifariki tarehe 7 Novemba 2018. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo akisaini kitabu baada ya kumtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye nyumbani kwake Endasak, Hanang kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi.Bibi Elizabeth Gisa Sumaye alifariki tarehe 7 Novemba 2018.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wakazi wa kata ya Endagaw mara baada ya kukagua Soko la Mazao la Kimataifa pamoja na ghala la Chakula Endagawi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia mazao katika Soko la Mazao la Kimataifa Endagaw, kulia ni Afisa Kilimo wa Wilaya ya Hanang Erick Mvati.

Loading...

No comments: