MAKAMU WA RAIS AZINDUA MASHINDANO YA SHIMMUTA JIJINI DODOMA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, November 21, 2018

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MASHINDANO YA SHIMMUTA JIJINI DODOMA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipungia mkono maandamano ya washiriki wa mashindano ya SHIMMUTA wakati yakiingia katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Timu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa sherehe za uzinduzi wa mashindano ya SHIMMUTA jijini Dodoma.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa mashindano ya michezo ya SHIMMUTA jijini Dodoma.
Loading...

No comments: