MKUTANO WA MAJAJI WAKUU NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA WAFANYIKA MJINI LILONGWE NCHINI MALAWI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, November 1, 2018

MKUTANO WA MAJAJI WAKUU NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA WAFANYIKA MJINI LILONGWE NCHINI MALAWI


Pichani kulia ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Prof Ibrahim Hamis Juma akiwa sambamba na Mheshimiwa Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Othman Chande (kushoto) walipokwenda kumtembelea mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi Ben Mashiba nyumbani kwake jana jijini Blantyre,nchini Malawi.
Majaji wakuu nchi za kusini mwa Afrika wakiwa katika picha ya pamoja,wakati wa Mkutano wao Mjini Lilongwe nchini Malawi

Loading...

No comments: