POLISI BINGWA TAEKWONDO KENYA YA PILI, RPC AWAITA OFISINI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, November 7, 2018

POLISI BINGWA TAEKWONDO KENYA YA PILI, RPC AWAITA OFISINI Mchezaji mwenye umri mdogo toka Kenya akiwa ameuangushwa chini baada ya kupigwa teke na mchezaji wa timu ya Taekwondo ya Polisi Arusha katika mchezo wa mashindano ya Nane Nane yaliyofanyika jana katika ukumbi wa Tripple A uliopo jijini hapa na Polisi kuibuka mshindi. (Picha na Rashid Nchimbi wa Polisi Arusha) 
 Wachezaji wa timu ya Polisi Arusha Taekwondo wakimpongeza mmoja wa wachezaji wao mwenye umri mdogo mara baada ya kushinda mchezo wake dhidi ya mpinzani wake toka Kenya katika pambano la Nane Nane Taekwondo Clubs Championship lililofanyika ukumbi wa Tripple A uliopo jijini Arusha. (Picha na Rashid Nchimbi wa Polisi Arusha)
Loading...

No comments: