Roma kafunguka " Natamani Ruge angekuwepo, bila kufeki pengo lake linaonekana" - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, November 25, 2018

Roma kafunguka " Natamani Ruge angekuwepo, bila kufeki pengo lake linaonekana"

ROMA MKATOLIKI,RUGE MUTAHABA,FIESTA,
Mkali kutoke kwenye kundi la ROSTAM, Roma amefunguka kuhusu kuahirishwa kwa show ya Fiesta grand finale iliyokuwa ifanyike Leaders Club DSM siku ya November 24, 2018 pamoja na kumzungumzia Ruge Mutahaba ambapo amesema ameliona pengo la Ruge na anatamani angekuepo.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama ROMA akifunguka. 

VIDEO KWA HISANI YA AYO TV 
Loading...

No comments: