Shomari kapombe afunguka kuhusu hali yake inavyoendelea kwa sasa - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, November 26, 2018

Shomari kapombe afunguka kuhusu hali yake inavyoendelea kwa sasa

Beki wa klabu ya Simba, Shomari kapombe amewashukuru wa Tanzania kwa ujumla kumuombea na kusema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri katika matibabu yake nchini Afrika Kusini.

Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram, Kapombe ameandika kwa kuelezea namna anavyoendela.
Nachukua nafasi hii kutoa shukrani nying kwa w2 wwt waliokuwa wakiniombea tangu nilipopata majeraha na hali yang mbaka naendelea vzr nawashukuru mashabiki, na viongozi kwa umoja mbaka sasa🙏🙏🙏 na bado nipo kweny kumalizia matibabu yangu ya mwisho …🙏🙏🙏Soon i will be back💪💪💪@simbasctanzania ..GOD IS ALBE
Beki huyo wa kulia alipata majeraha mazoezini wakati akiwa na timu ya Taifa kabla ya kwenda kuwava Lesotho kutafuta tiketi ya kufuzu Afcon hapo mwakani nchini Cameroon.

Loading...

No comments: