VIDEO: Balozi wa Grants Duniani Bw. Danny Dyer Atembelea Tanzania - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, November 21, 2018

VIDEO: Balozi wa Grants Duniani Bw. Danny Dyer Atembelea Tanzania

Balozi wa Grants duniani kutokea Scotland bwana Danny Dyer atembelea Tanzania kusherehekea miaka 25 ya Grants whisky Tanzania..kwenye Safari yake hii ya kusema Asante kwa Tanzania bwana Danny alitoa mafunzo kwa watengeneza cocktails kwenye hotel na bar maarufu Tanzania.

Loading...

No comments: