VINARA MASUALA YA JINSIA BUNGENI WAJENGEWA UWEZO WA UCHAMBUZI WA BAJETI KIJINSIA NA MWEZESHAJI KUTOKA TGNP MTANDAO KATIKA KIKAO KILICHOFANYIKA LEO KATIKA OFISI ZA BUNGE JIJINI DODOMA. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, November 8, 2018

VINARA MASUALA YA JINSIA BUNGENI WAJENGEWA UWEZO WA UCHAMBUZI WA BAJETI KIJINSIA NA MWEZESHAJI KUTOKA TGNP MTANDAO KATIKA KIKAO KILICHOFANYIKA LEO KATIKA OFISI ZA BUNGE JIJINI DODOMA.Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza  jambo wakati wa kikao kazi na Vinara wa Masuala ya Jinsia Bungeni kilichofanyika leo tarehe 8 Novemba 2018 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.Makamu Mwenyekiti wa Wabunge Vinara wa Masuala ya kijinsia Bungeni Mhe. Suzanne Lyimo akiongoza kikao kazi wa Masuala ya Jinsia Bungeni kilichofanyika leo tarehe 8 Novemba 2018 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Loading...

No comments: