Wachimbaji Wadogo watakiwa kuhakikisha leseni kutokuwa chanzo cha migogoro - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, November 6, 2018

Wachimbaji Wadogo watakiwa kuhakikisha leseni kutokuwa chanzo cha migogoro

 Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko (kulia) akisikiliza mgogoro uliokuwepo kati ya Kampuni ya Pamoja Mining Ltd na Mkazi wa Nyarugusu Salum Othman (hawapo pichani) katika Ofisi ya Halmashauri ya Bukombe. Kushoto ni Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Geita, Daniel Mapunda.
Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko (wa kwanza kulia mbele) akisikiliza mgogoro uliokuwepo kati ya Kampuni ya Pamoja Mining ltd na Mkazi wa Nyarugusu Salum katika Ofisi ya Halmashauri ya Bukombe. Wengine katika picha ni Wafanyakazi kutoka Ofisi ya Madini Geita na  kampuni ya Pamoja Mining Ltd.
Loading...

No comments: