WADAU WA SEKTA YA AFYA KUENDELEA KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA NCHINI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, November 27, 2018

WADAU WA SEKTA YA AFYA KUENDELEA KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA NCHINI


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na wadau mbalimbali wa maendeleo na wakurugenzi wa wizara (Hawapo Pichani) wakati wa mkutano wa mwaka wa wadau wa sekta ya afya wa kujadilia njia zitakazowezesha kufikia malengo na vipaumbele vya kisera vya mwaka 2019/2020 uliofanyika jijini Dodoma.
 Wakurugenzi mbalimbali kutoka wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakimsikiliza Waziri wa wizara hiyo Mhe. Ummy Mwalimu (Hayupo Pichani) katika mkutano wa mwaka wa wadau wa sekta ya afya wa kujadilia njia zitakazowezesha kufikia malengo na vipaumbele vya kisera vya mwaka 2019/2020 uliofanyika jijini Dodoma.

Loading...

No comments: