WATAALAMU WA MAENDELEO YA JAMII WATAKIWA KUFANYA KAZI BILA MIPAKA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, November 27, 2018

WATAALAMU WA MAENDELEO YA JAMII WATAKIWA KUFANYA KAZI BILA MIPAKAMkuu wa Wilaya ya Arusha Bw. Gabriel Daqarro pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike wakiwa tayari kuanza kazi ya kumwaga zege kusaidia ujenzi wa upanuzi wa Kituo cha Afya Kaloleni kilichopo katika Jiji la Arusha siku moja kabla ya kuanza Kongamano la Siku Tano la wataalamu wa Maendeleo ya Jamii

  •  Mkuu wa Wilaya ya Arusha Bw. Gabriel Daqarro akimwaga zege kusaidia ujenzi wa upanuzi wa Kituo cha Afya Kaloleni kilichopo katika Jiji la Arusha wakati wa Kongamano la wataalamu wa maendeleo ya Jamii linaoendelea kwa siku tano Jijini humo

 : Mkurugenzi Msaidizi utawala pamoja na Afisa Maendeleo ya Jamii Abeli Parapara wote kutoka Wizara ya Afya Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii wakisaidia ujenzi wa upanuzi wa Kituo cha Afya Kaloleni kilichopo katika Jiji la Arusha wakati wa Kongamano la wataalamu wa maendeleo ya Jamii linaoendelea kwa siku tano Jijini humo
 : Mkuu wa Wilaya ya Arusha Bw. Gabriel Daqarro akikabidhi kitanda cha wagonjwa kwa Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Kaloleni kilichopo katika Jiji la Arusha Bi. Anna Kimario siku moja kabla ya kuanza Kongamano la siku tano la wataalamu wa maendeleo ya Jamii

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Bw. Gabriel Daqarro akikabidhi vifaa vya Watoto wa wagonjwa kwa Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Kaloleni kilichopo katika Jiji la Arusha Bi. Anna Kimario siku moja kabla ya kuanza Kongamano la siku tano la wataalamu wa maendeleo ya Jamii.
Loading...

No comments: