WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YATENGA MAMILIONI KUWEZESHA UFUGAJI NYUKI KISASA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, November 30, 2018

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YATENGA MAMILIONI KUWEZESHA UFUGAJI NYUKI KISASA


 Naibu Waziri wa Maliasili na Utaii, Mhe,Constanine Kanyasu  wakati  akizungumza na wananchi  kwenye mkutano wa hadhara mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa.kuhusu mkakati wa Wizara wa kuhakikisha wananchi wanapatiwa mafunzo pamoja na vifaa vya kisasa kwa ajili ya kufuga nyuki kwa njia ya kisasa kwenye mkutano uliofanyika  Mbogwe katika mkoa wa Geita. (Picha na Lusungu Helela-MNRT)
Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa uliofanyika  Mbogwe katika mkoa wa Geita wakimsikiliza Naibu Waziri wa Maliasili na Utaii, Mhe,Constanine Kanyasu  wakati  akizungumza kuhusu Sh 700 milioni zitakavyowanufaisha katika ufugaji nyuki kwa njia ya kisasa. (Picha na Lusungu Helela-MNRT

Loading...

No comments: