Binti wa Rais Kagame anayetajwa kuwa mrembo kuliko watoto wa Marais wote Afrika afunga ndoa (+picha) - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, December 30, 2018

Binti wa Rais Kagame anayetajwa kuwa mrembo kuliko watoto wa Marais wote Afrika afunga ndoa (+picha)

Mtoto pekee wa kike wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, Ange Kagame juzi Ijumaa amefunga ndoa ya kimila na mchumba wake wa muda mrefu Bertrand Ndengeyingoma.
Ndoa hiyo imefungwa huko Ntebe Mashariki mwa Rwanda kando kando mwa ziwa Muhazi.
Ange Kagame (25) mara kwa mara, amekuwa akitajwa na mitandao mbalimbali kuwa ndiye mtoto wa Rais ambaye mrembo zaidi barani Afrika.
Loading...

No comments: