Jose Mourinho afukuzwa kazi Manchester United - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, December 19, 2018

Jose Mourinho afukuzwa kazi Manchester United

Kocha Jose Mourinho ameondelewa katika nafasi yake ya kuinoa klabu ya Manchester United baada ya kuiona klabu hiyo kwa miaka miwili na nusu


Taarifa ya klabu hiyo inasema “Klabu inapenda kumshukuru Jose kwa kazi yake kwa muda wote aliokuwepo Manchester United na kumtakiwa mafanikio mema kwa siku zijazo”
Taarifa ya Man U
Manchester United announces that manager Jose Mourinho has left the club with immediate effect.
The club would like to thank Jose for his work during his time at Manchester United and to wish him success in the future.
A new caretaker manager will be appointed until the end of the current season, while the club conducts a thorough recruitment process for a new, full-time manager.
Aliyewahi kuwa nahodha wa klabu hiyo, Michael Carrick anatarajiwa kuchukua nafasi hiyo hadi mwisho wa msimu.
Loading...

No comments: