KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY UWANJA WA SOKOINE MECHI YA LIGI KUU TANZANIA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, December 29, 2018

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY UWANJA WA SOKOINE MECHI YA LIGI KUU TANZANIA
Vinara wa Ligi kuu Tanzania klabu ya Yanga itashuka uwanja wa Sokoine jijini Mbeya majira ya saa 10:00 jioni kucheza na wenyeji Mbeya City.
Kikosi kitakachoanza dhidi ya wenyeji ni:
1-Ramadhani Kabwili
2-Paul Godfrey
3-Gadiel Michael
4-Abdalah Shaibu Ninja
5-Kelvin Yondani
6-Feisal Salum Fei Toto
7-Ibrahim Ajibu
8-Haruna Moshi Boban
9-Heritier Makambo
10-Amiss Tambwe
11-Mrisho Ngassa
Wachezaji wa akiba ni:
-Klaus Kindoki
-Juma Abdul
-Cleofas Sospeter
-Maka Edward
-Deusi Kaseke
-Jaffary Mohamed
-Pius Buswita
Loading...

No comments: