MATOKEO YA MECHI ZA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, December 2, 2018

MATOKEO YA MECHI ZA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA

Ligi kuu imeendelea leo katika viwanja tofauti ambapo timu 8 zilikuwa kazini kusaka pointi tatu timu 6 zimefanikiwa kukamilisha dakika 90 huku timu 2 zikishindwa kutokana na hali ya hewa.

Lipuli na Biashara United zimecheza kwa muda wa dakika 26 bila kufungana dakika 64 zilizobaki watamalizia kesho kutokana na mvua kubwa kunyesha wakati wa mchezo uwanja wa Samora.

Matokeo kwa mechi ambazo zimkekamilisha dakika 90 ni kama ifuatavyo:-

Mbeya City 4-1, African Lyon uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Kagera Sugar 1-0, Alliance uwanja wa Kaitaba, Kagera.

Ndanda 0-0 Mbao, uwanja wa Nangwada Sijaona, Mtwara.


CHANZO; SALEHE JEMBE

No comments: