Msanii Darassa Kaachia DUDE Jingine Jipya liitwalo Achia Njia. Tazama Hapa - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, December 14, 2018

Msanii Darassa Kaachia DUDE Jingine Jipya liitwalo Achia Njia. Tazama Hapa

Baada ya kukaa kimya kwa mwaka mmoja na nusu bila kuachia ngoma, hatimaye Darassa amefanikiwa kurudi kwa kishindo na dude jipya la ACHIA NJIA.Asubhi aliachia wimbo mpya uitwao Tofauti

Kwenye wimbo wa Achia Njia, Darassa ametumia staili yake ile ile ya kughani.

 Video ya wimbo huu imeongozwa na Justin Campos na mdundo umegongwa na Abba.

Advertisement
Loading...

No comments: