RAIS MADRID AANZA MCHAKATO WA KUMALIZANA NA SALAH HARAKA, HATAKI UTANi - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, December 28, 2018

RAIS MADRID AANZA MCHAKATO WA KUMALIZANA NA SALAH HARAKA, HATAKI UTANi

i

Imeripotiwa kuwa Rais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Perez amerejesha mpango wa kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Misri na klabu ya Liverpool Mohamed Salah.

Perez amepanga mkakati huo ili kuufanya mwishoni mwa msimu huu akimpa nafasi kubwa ya kuchukua nafasi ya Cristiano Ronaldo. 

Taarifa imesema Perez amesema wako tayari kumtoa mshambuliaji Marco Asensio ili kupata pesa ya fedha ya kumsajili Salah.

Awali Madrid walianza mchakato wa kuhakikisha wanamsajili Salah lakini nguvu ilikuja kupotea kutokana na Mmisri huyo kuongeza mkataba mwingine na Liverpool.
Loading...

No comments: