Rais Magufuli Aungana Na Waumini Wengine Wa Kanisa La Mtakatifu Petro Parokia Ya Oysterbay Jijini Dar Es Salaam Kuadhimisha Sherehe Ya Familia Takatifu Ya Yesu - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, December 30, 2018

Rais Magufuli Aungana Na Waumini Wengine Wa Kanisa La Mtakatifu Petro Parokia Ya Oysterbay Jijini Dar Es Salaam Kuadhimisha Sherehe Ya Familia Takatifu Ya YesuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa Amani na Masista wa kanisa katoriki na waumini wengine wakati wa Ibada ya jumapili ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Desemba 30,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na watoto wa kanisa katoriki wakati wa Ibada ya jumapili ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kanisani kwa ajili ya kushiriki Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Paroko msaidizi Padre Asis Mendokta mara baada ya kuungana na waumini wengine katika Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Picha zote: IKULU
Loading...

No comments: