VODACOM TANZANIA WASHEREHEKEA KUUAGA MWAKA 2018 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, December 17, 2018

VODACOM TANZANIA WASHEREHEKEA KUUAGA MWAKA 2018Wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, wakisakata muziki wakati wa sherehe ya kuuaga mwaka 2018 iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano, Rosalynn Mworia, (Kushoto) akimsikiliza Goodluck Mushi, wakati akishukuru kwa kutunukiwa tuzo ya mfanyakazi bora wakati wa sherehe ya kuuaga mwaka 2018 iliyofanyika Mlimani City Jijijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi (kushoto) akimpongeza Christina Murimi, mara baada ya kukabidhiwa TUZO ya mfanyakazi bora, wakati wa sherehe ya kuuaga mwaka 2018 iliyofanyika Mlimani City Jijijini Dar es Salaam.
Loading...

No comments: