Wateja wa Tigo na Uber wapata nafasi ya kujivinjari na Helkopta Dar - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, December 14, 2018

Wateja wa Tigo na Uber wapata nafasi ya kujivinjari na Helkopta Dar
Balozi wa promosheni ya Jigiftishe na Tigo,  Lucas Mhavile - Joti (wa tatu kulia) akiwa na  na baadhi ya washindi wa promosheni ya Tigo Jigiftishe waliopata bahati ya kupanda helikopta na kujionea mandhari ya jiji la Dar es Salaam wakiwa hewani muda mfupi kabla ya kuanza hiyo ya kufurahisha. 

Balozi wa promosheni ya Jigiftishe na Tigo,  Lucas Mhavile - Joti (kushoto) akiwa na balozi wa Uber, Idris Sultan (kulia) mbele ya helikopta  iliyowabeba baadhi ya washindi wa promosheni inayoendelea ya Jigiftishe pamoja na baadhi ya wateja wa Uber muda mfupi kabla washindi na wateja hao kufurahi safari ya muda mfupi iliyowawezesha kuona mandhari ya jiji la Dar es Salaam wakiwa angani

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya kiteknologia ya usafiri-Uber wakiwa katika picha ya pamoja jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya baadhi wa ashindi wa Promosheni ya Jigiftishe na Tigo pamoja wateja Uber kufurahi safari ya muda mfupi iliyowawezesha kuona mandhari jiji la Dar es Salaam wakiwa angani
Loading...

No comments: