ALBAMU "The WIZRD" YA FUTURE YAONGOZA KWA KUFANYA VIZURI BILLBOARD - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, January 28, 2019

ALBAMU "The WIZRD" YA FUTURE YAONGOZA KWA KUFANYA VIZURI BILLBOARDJanuary 18 mwaka huu Future aliachia album yake ya 7 'The WIZRD' sasa taarifa nzuri leo ni kwamba album hiyo imefanikiwa kukamata namba 1 kwenye chati za Billboard 200 akiuza zaidi ya nakala 126,000.

Hii inakuwa album ya 6 kwa Future kukamata namba 1 ikiwa ni ndani ya miaka mitatu, miezi mitano na wiki tatu. Mara ya kwanza kuikalia namba 1 ilikuwa kwenye album yake ya tatu DS1 mwezi August 2015.
Loading...

No comments: