ARIANA GRANDE ATANGAZA UJIO WA ALBAMU MPYA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, January 24, 2019

ARIANA GRANDE ATANGAZA UJIO WA ALBAMU MPYA


Imepita miezi mitano tangu Ariana Grande aiachie album yake ya 4 'Sweetener' August 17, 2018 ambapo ilipata mafanikio makubwa hasa kukamata namba 1 kwenye chati za Billboard 200.

Grande anatuletea album nyingine February 8 mwaka huu, kupitia chapisho lake instagram mwimbaji huyo ameipa jina la 'Thank U, Next.' na kisha kutupa midundo 12 ambayo itapatikana ndani. Tayari ameachia mikwaju miwili: Thank U, Next pamoja na 7 Rings.

Hii Hapa Tracklist:
1. Imagine
2. Needy
3. NASA
4. Bloodline
5. Fake Smile
6. Bad idea
7. Make Up
8. Ghostin
9. In my Head
10. 7 Rings
11. Thank U, Next
12. Break up with your girlfriend, I'm bored.
Loading...

No comments: