BAADA YA WIZKID, SASA NI ZAMU YA DAVIDO KUVUNJA REKODI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, January 28, 2019

BAADA YA WIZKID, SASA NI ZAMU YA DAVIDO KUVUNJA REKODI
Davido ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza mwenye umri mdogo toka Afrika na wa pili kwa ujumla kuujaza uwanja wa O2 mjini London Uingereza

Mwezi June 2018 baada ya Wizkid kufanya maajabu hayo, Davido aliweka nia ya kumjibu na hatimaye amefanikiwa kuujaza uwanja huo tena kwa kuuza tiketi zote (SOLD OUT) ukiwa na uwezo wa kujaza watu 20,000 hivyo kuungana na wakali wengine wa dunia kama: Rihanna, Kanye West, Adele, Drake, Elton John, Celine Dion, Britney Spears ambao waliwahi kuujaza uwanja huo.
Loading...

No comments: