BALOZI WA UINGEREZA NCHINI AKUTANA NA WAZIRI WA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, January 28, 2019

BALOZI WA UINGEREZA NCHINI AKUTANA NA WAZIRI WA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI


Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, George Kakunda (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi.Sarah Cooke,alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, George Kakunda (kulia) akimkaribisha mgeni wake Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke,alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar na kufanya nae mazungumzo yenye lengo la kuongeza na kuimarisha Ushirikiano uliopo baina ya Tanzania na Uingereza.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
 
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, George Kakunda (wapili kulia) aikiwa katika picha ya pamoja na wageni.
Loading...

No comments: