CARDI B: SIJAISHITAKI LABEL YANGU KAMA INAVYORIPOTIWA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, January 31, 2019

CARDI B: SIJAISHITAKI LABEL YANGU KAMA INAVYORIPOTIWA
Cardi B amekanusha taarifa zilizotoka kwamba ameishtaki label yake - Quality Control Music kwa kitendo cha kuwaruhusu walinzi wa Offset kumshambulia vibaya mpiga picha ambaye alikuwa akichukua picha za wawili hao kwenye onesho la Met Gala mwezi Mei 2018.

Cardi B na Offset wapo chini ya mwamvuli mmoja wa kampuni hiyo ambayo pia inasimamia kundi zima la Migos.


Fununu hizi zilianza kuzagaa mitandaoni mwezi huu mwanzoni huku zikionyesha wazi kuwa Cardi hakupendezwa na tukio lile na anaamini kuwa management yake haikufanya jambo sahihi kwake. 

SOURCE: DOZEN SELECTION

Loading...

No comments: