CHRIS BROWN KUMSHTAKI MWANAMKE ALIYEMPAKAZIA UBAKAJI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, January 24, 2019

CHRIS BROWN KUMSHTAKI MWANAMKE ALIYEMPAKAZIA UBAKAJIChris Brown amechukizwa na tuhuma za ubakaji, apanga kumpeleka mahakamani mwanamke ambaye amedai kubakwa!

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Chris Brown anajipanga kumshtaki mwanamke huyo kwa kosa la kumchafua (defamation), mwanasheria wa Breezy ameuambia mtandao huo kuwa mteja wake yupo huru kwa sasa, hakuna shtaka lolote dhidi yake pia watafungua shauri jipya kumshtaki mwanamke huyo kwa kumchafua.
Loading...

No comments: