ELIUD AMBOKILE NDANI YA SAUZI, MBEYA CITY WATHIBITISHA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, January 31, 2019

ELIUD AMBOKILE NDANI YA SAUZI, MBEYA CITY WATHIBITISHAKlabu ya Mbeya City ya mkoani Mbeya imesema kuwa nyota wake Eliud Ambokile (pichani) amejiunga rasmi na klabu ya Black Leopards F.C inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini kwa mkopo wa miezi mitatu. 

Kila la kheri kwa Eliud Ambokile. 
Loading...

No comments: