Haji Manara Atoa Povu Kisa Simba " Simba SI Mama Yangu Wala Baba Yangu - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, January 27, 2019

Haji Manara Atoa Povu Kisa Simba " Simba SI Mama Yangu Wala Baba Yangu


Haji Manara Atoa Povu Kisa Simba " Simba SI Mama Yangu Wala Baba Yangu"

Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, amewatolea povu watu wote wanaomtukana mitandaoni pale tu klabu ya Simba inapofungwa.Manara amesema kazi yake ni kuisemea timu na kutoa taarifa zote zinazohusu klabu hiyo na si vinginevyo, hivyo kitendo cha watu kumtukana kama vile yeye ndiye Mchezaji au Kocha kinamkwaza sana.
Loading...

No comments: