HUDSON-ODOI KAONA ISIWE TABU... - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, January 28, 2019

HUDSON-ODOI KAONA ISIWE TABU...


Winga wa Chelsea Callum Hudson-Odoi amewasilisha barua ya kutaka kuondoka ndani ya klabu hiyo na kuhamia Bayern Munich.

Huku ikiwa imebaki chini ya wiki kabla ya dirisha la januari kufungwa winga huyo amekataa ofa ya mkataba mpya ya kubaki darajani wenye thamani ya mshahara wa Pauni 85,000 kwa wiki akiamini kwamba maisha yake yapo Bundesliga.

Je ni muda sahihi wa yeye kuondoka?
Loading...

No comments: