KHLOE KARDASHIAN AMSAPOTI KANYE URAISI 2024 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, January 28, 2019

KHLOE KARDASHIAN AMSAPOTI KANYE URAISI 2024


Kanye West alitangaza nia ya kuutaka Urais wa Marekani kwa mwaka 2024, wengi wamekuwa wakionesha kutomuunga mkono kufuatia kuchukizwa na upande ambao ameuchagua wa kumsapoti Rais Donald Trump.

Cha ajabu ameibuka mmoja ambaye ameonesha kumsapoti Kanye West kufikia lengo lake. Shemeji yake, mwanadada Khloe Kardashian amejitokeza na kuvaa kofia iliyoandikwa 'Kanye For President' kwa dhamira ya kuwa naye pamoja kwenye safari hiyo ya White House.

Khloe akiwa kavaa kofia hiyo

Loading...

No comments: