KUFUATIA KUWEPO NA MKANGANYIKO WA RATIBA LIGI KUU, UONGOZI YANGA WAJA NA TAMKO LA FA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, January 25, 2019

KUFUATIA KUWEPO NA MKANGANYIKO WA RATIBA LIGI KUU, UONGOZI YANGA WAJA NA TAMKO LA FA


Kufuatia mkanganyiko wa ratiba kuhusu michezo ya ligi na ule wa kombe la ASFC, Afisa habari wa Yanga, Dismas Ten, amethibisha tarehe rasmi ambazo kikosi chake kitashuka uwanjani kutafuta pointi tatu muhimu.

Loading...

No comments: