Kwa mara ya kwanza Yanga yapokea kichapo ligi kuu, Masawe aipatia ushindi Stand United dakika za lala salama - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, January 20, 2019

Kwa mara ya kwanza Yanga yapokea kichapo ligi kuu, Masawe aipatia ushindi Stand United dakika za lala salama


Kwa mara ya kwanza msimu huu Yanga SC wanapoteza mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara mbele ya Stand United Chama la wana kwenye dimba la Kambarage Shinyanga baada ya kukubali kipigo cha bao 1 – 0. 
Dar es salaam Young Africa imekubali kipigo hicho kutoka kwa Stand baada ya nahodha wake Jacob Masawe kuifungia timu hiyo dakika ya 88 ya kipindi cha pili.
Loading...

No comments: